Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole Mama Maria
Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kufiwa na mkwewe
Leticia Nyerere leo tarehe 13 Januari Msasani jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimfariji Bi. Rose Nyerere binti wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
alipokwenda kuwafariji kufuatia kuondokewa na Mpedwa wao Leticia
Nyerere.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimsalimia Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
alipokwenda nyumbani kwake kumpa pole kufuatia kifo cha mkwewe wake
Leticia Nyerere.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimsikiliza Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
(aliyekaa katikati) wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia kifo cha
mkwewe wake Leticia Nyerere. Aliyekaa kulia ni Mmoja wa Wasemaji
wafamilia Bw. John Shibuda.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akizungumza na Mama Maria Nyerere Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia kifo cha mkwewe wake
Leticia Nyerere. Aliyekaa kushoto ni Bi. Rose Nyerere.
Spika wa Bunge akiwa na
wanafamilia wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwemo Mama Maria
alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo cha mpedwa wao Leticia Nyerere.
Spika wa Bunge akiwa katika
picha ya pamoja na wanafamilia wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere akiwemo
Mama Maria alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo cha mpedwa wao Leticia
Nyerere.
Spika wa Bunge akisalimia familia
ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alipokwenda kuwafariji kufuatia kifo
cha mpedwa wao Leticia Nyerere.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
EmoticonEmoticon