Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Rashid Hadid
Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa
Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na
Ikulu]
Spika wa Baraza la Wawakilishi
Pandu Ameir Kificho (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na
Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini na Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Khamis Haji ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla
ya kuapishwa Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla ya
uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake
Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akisalimiana na kumpongeza Bw.
Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
leo baada ua kuapushwa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla
ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake
Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
EmoticonEmoticon