Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi

July 17, 2015

 k
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio  Switzerland katika hoteli ya Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.
mail.google.com9
Watanzania waishio Switzerland.
j
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa  Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva Uswisi.
(picha na Freddy Maro)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »