Mwansheria
na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa
ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya
wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
Anaepokea fomu hizo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman
Sheshe. Wengine ni wapambe wa mgombea huyo waliomsindikiza kurejesha
fomu hizo leo.
Emmanuel
Tamila Makene ambae ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Katibu wa
Usalama na Maadili taifa wa Umoja wa vijana (UVCCM) akisaini kitabu cha
kurejesha fomu huku mkewe Dk Sarah Makene akimwangalia kwa makini na
Katibu wa CCM Wilaya akikagua fimu. Dk Sarah Makene ni Daktari katika
Hospitali ya Mwananyamala anaeshughulika na wagonjwa wa Ukimwi na
wWaathirika na dawa za kulevya.
Dk
Sarah Makene ni Daktari katika Hospitali ya Mwananyamala anaeshughulika
na wagonjwa wa Ukimwi na wWaathirika na dawa za kulevya, akipeana mkono
na Katibu wa CCM Wilaya baada ya kupokea fomu za Muwewe.
Makene akiwa na Mkewe Dk Sarah pamoja na rafiki yao baada ya kurudisha fomu.
Makene akiwa na Mkewe Dk Sarah na marafiki zao baada ya kurejesha fomu.
EmoticonEmoticon