MAPOKEZI YA DR. MAGUFULI GEITA HAPATOSHI

July 20, 2015

1
Mamia ya wananchi wakimpokea mgombea wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli mkoani Geita mchana  wa leo Dr John Pombe Magufuli yuko mkoani Geita kwa ya kujitambulisha kwa wananchi mara baada ya chama cha Mapinduzi kumteu kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho( PICHA NA  MICHUZIJR-GEITA)
23
Dr. John Pombe Magufuliakizungumza na wananchi.
5
Baadhi ya wananchi wakimpungia mikono Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli.
67
Umati wa wananchi ukiwa umejitokeza kwa wingi.
8
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Kasheku Msukuma akionyesha ishara ya kufurahia jambo wakati wa mapokezi ya Dr. John Pombe Magufuli.
910111213mag1

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »