DKT.MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA MHANDISI MASAUNI

January 20, 2026


Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.



Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais -  Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  - Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »