Ofisa
wa Mahusiano na Masoko wa kampuni ya ndege ya FastJet Lucy Mbogoro
akitoa maelezo kwa ujumbe kwa Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe na
ujumbe wake wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani kushoto kwake
ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya Fast Jet wakiwa kwenye picha ya pamoja
Wafanyakazi
wa kampuni ya FastJet wakipita mbele ya mgeni rasmi ambae ni Waziri wa
Uchukuzi Mh.Harrison Mwakyembe wakati wa maadhimisho ya siku ya anga
duniani
Waziri
wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya
ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo
aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri
pembeni yake ni Mwenyekiti wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Meneja
Biashara wa FastJet, Jean Uku akitoa maelekezo kwa Waziri wa Uchukuzi
HarrisonMwakyembe kuhusiana na utendaji kazi wa kampuni hiyo wakati wa
maadhimisho ya siku ya anga duniani pembeni ya Mwakyembe ni Mwenyekiti
wa Bunge ya Miundombinu, Peter Serukamba.
Waziri
wa Uchukuzi HarrisonMwakyembe akizungumza na wafanyakzi wa kampuni ya
ndege ya FastJet wakati wa maadhimisho ya siku ya anga duniani ambapo
aliipongeza kampuni hiyo kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwa wasafiri.
EmoticonEmoticon