Kutoka
(kushoto) ni Dj Romy Jones, Moses Iyobo na Rama Tonsa wakisubili
usafiri na huku wakijaribu kupata mawasiliano mara tu baada ya kuwasili
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia tayari
kwa kuwasha moto leo kwenye sherehe ya Uhuru itakayofanyika Sheraton ya
Downtown Silver Spring.
Moses
Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara tu baada
ya kuwasili siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya sherehe ya Uhuru
itakayofanyika leo Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver Spring,
Maryland.
Moses Iyobo na Rama Tonsa wakiwasili hotelini mara tu baada ya kutoka uwanja wa ndege.
Dj Romy Jones (Dj wa Diamond) akiendelea na mawasiliano akiwa hotelini.
kushoto
ni Inno na watatu toka kushoto ni Phanuel ambao ni waratibu na
waliomleta Diamond wakishirikiana na DMK (hayupo pichani wakiwa katika
picha ya pamoja na Dj Romy Jones, Moses Iyobo
Saada Wadau kutoka Michigan wakiwasili tayari kwa show ya Diamond. Picha na Vijimambo.
EmoticonEmoticon