Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wananchi wakati alipofika katika viwanja vya
Bwawani Hotel Mjini Unguja kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya
udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono kama ishara ya kupokea maandamano wakati Vijana wa Wilaya ya kati Unguja wakipita mbele yake leo katika viwanja vya Bwawani HoteliMjini Unguja alipofika kuzindua Kampeni ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka wa Ofisa
Maria Obel (kushoto) alipotembelea banda la maonesho la Wizara ya
Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto katika viwanja vya
Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga
vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake na Ustawi wa Jamii Baraza la
Wawakilishi Bi Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein wakati wa maonesho ya kazi mbali mbali wakati uzinduzi wa Kampeni
ya kupinga vitendo vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto uliofanyika
leo katika viwanja vya Bwawani Hoteli Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Filbeto Ceriani Sebregondi Mwakilishi
wa Umoja wa Mataifa (katikati) wakati alipokuwa akitembelea maonesho
mbali mbaki katika uzinduzi wa uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo
vya udhalilishaji wa Wanawake na Watoto zilizofanyika leo Viwanja
vyaHoteli ya Bwawani (kulia) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed.
Baadhi ya Wananchi
waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya
udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein aliyoitoa leo katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Baadhi ya Wananchi
waliohudhuria katika uzinduzi wa Kampeni ya kupinga vitendo vya
udhalilishaji wa Wanawake na Watoto wakifuatilia kwa makini hutuba ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein aliyoitoa leo katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja. Picha na Ikulu.
EmoticonEmoticon