Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wanachama wa SACCOS ya Katoro, Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma
kwa mwaliko wa Mbunge wao wa jimbo la Busanda Lolesia Bukwimba (wapili
kushoto kwake) Novemba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya
Katoro , Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma Novemba 24, 2014 kwa
mwaliko wa Mbunge wao, Lolesia Bukwimba. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon