SERENGETI FIESTA USIKU WA KUAMKIA LEO 2014 ILIVYOFUNIKA MBAYA KIGOMA !

October 26, 2014


Ilikua ni zamu ya Kigoma ( 89.3 CloudsFM) kusambaziwa upendo wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma na Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na Linah, Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue, Chege na Makomando.
 



 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »