Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya
kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni Naibu
Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman,
Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said (kushoto kwake) baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal
Airport kwa ziara ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio Oman
baada ya kuwasili kwenye hoteli ya AL Bustan Palace mjini Muscut kuanza
ziara ya siku mbili nchini humo, Oktoba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon