Makamu
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal,
akiongea na wasanii na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika
Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani wakati akifungua kongamano
kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam jana, Hii ni mara ya kwanza
kwa tamasha hilo kufanyika hapa nchini, .(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mmiliki wa UJIJIRAHAA.
Naibu
waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma
Nkamia, alipokua akiongea na kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal,
akiweka saini katika kitabu cha wageni, (kulia) ni Naibu waziri wa
Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Msanii Aisha Mashauzi akitoa burudani katika Maadhimisho hayo.
Baadhi ya Wadau wa Sanaa
Wanahabari wa katika engo ya kilammoja apate anacho kihitaji katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya Wadau wakifatilia kwa makini mtanange huo.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga , Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni
Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga, Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni
Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga, Rashid Munyana (kushoto), akibusu Tuzo hiyo baada ya Kutunukiwa tuzo hiyo na
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal Daes Salaam jana katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani iliyo fanyika katika ukumbi wa Milmani City jana (kulia) ni mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal Daes Salaam jana katika Maadhimisho ya siku ya Wasanii Duniani iliyo fanyika katika ukumbi wa Milmani City jana (kulia) ni mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal,
(kulia) akimkabidhi Tuzo , Ofisa Habari Mkuu wa Baraza la Sanaa la
Taifa (BASATA) Agnes Kimwaga,(kushoto)
Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platinum’ akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.
Msanii Diamond Plutnams na kundi lake wakifanya mambo makubwa jukwaani
wakati wa tamasha la siku ya wasanii duniani lililofanyika jana kwenye
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Wasanii wa Yamoto Bend wakitoa burudani katika Maadhimisho hayo ya siku ya wasanii Duniani.
EmoticonEmoticon