WAZIRI MGIMWA AKUTANA NA RC GALLAWA KUHUSU MGOGORO WA ARDHI HIFADHI YA TAIFA YA MKOMAZI.

July 23, 2014
Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utalii Mhe. Mahmood Mgimwa na ujumbe wake wakiwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa kwa Ziara ya kutembelea kijiji cha Kimuni Kata ya Mwakijembe Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga kusikiliza  wananchi utatuzi wa Mgogoro wa ardhi Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi.
  Katibu Tawala Msaidizi  Mkoa wa Tanga Miundi mbinu, Bi Monica Kinara akitoa taarifa ya Mgogoro wa ardhi kijiji cha Kimuni Wilayani Mkinga
  Mkuu wa Mkoa Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza jambo
Ujumbe wa Naibu waziri, Viongozi wa Mkoa wa Tanga na Wilaya ya Mkinga

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »