WANAHISA WA CRDB WAFANYA SEMINA JIJINI ARUSHA KUELEKEA MKUTANO MKUU

May 09, 2014

???????????????????????????????Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB ikiwa ni utangulizi wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa utakaofanyika kesho (Mei 10) jijini Arusha.
???????????????????????????????Wanahisa wa Benki ya CRDB wakifatilia mada mbalimbali katika semina yao ya siku moja kabla ya mkutano mkuu katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha
???????????????????????????????Mkurugenzi wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji na Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama akitoa mada katika semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB
???????????????????????????????Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ambaye pia ni mjumbe wa bodi akisalimiana na  Makamu mwenyekiti wa mkutano huo
???????????????????????????????Taswira  katika mkutano huo wa wanahisa wa CRDB
??????????????????????????????? Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ,Mwenyekiti wa bodi ya Benki ya CRDB Martin Mmari,Mwenyekiti wa mkutano Damian Ruhinda wakiwa kwenye semina ya siku moja ya Benki hiyo jijini Arusha
???????????????????????????????
???????????????????????????????Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei ,akisalimiana na wanahisa katika semina  (Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »