Basi
la Kampuni ya DAR EXPRESS lenye namba za usajili T 580CFP linalodaiwa
kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Jiji la Nairobi nchini
Kenya limepunduka hii leo asubuhi katika eneo la Wami Mkoani Pwani.
Abiria kadhaa wamejeruhiwa katika ajali hiyo ambayo bado cxhanzo chake hakijajulikana.
EmoticonEmoticon