Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Mustapha Akunaay akichangia maoni yake leo
mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Siti Abbas Ali akichangia maoni yake leo
mjini Dodoma katika mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kulia) akisalimiana na
wajumbe wa Bunge la Katiba Profesa Mark Mwandosya (kushoto) na John
Shibuda(katikati) leo mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa semina
ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania
kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (katikati) akibadilishana
mawazo na Waziri wa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (TAMISEMI)
Hawa Ghasia (kulia) na Katibu Mkuu wa salimiana na Jumuiya ya Serikali
za Mitaa Tanzania Habraham Jacob Shamumoyo (kushoto) mara baada ya
semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuhusu Katiba mpya na
Serikali za Mitaa.
Profesa
Suleiman Ngware akitoa mada kuhusu Katiba na Serikali za Mitaa leo
mjini Dodoma wakati wa semina ya wajumbe wa Bunge la Katiba ya
kuwaelisha juu ya umuhimu wa kuiweka Serikali za Mitaa katika Katiba
mpya.
Meya
wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Massaburi (kushoto) akibadilishana
mawazo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) leo mjini Dodoma
kabla ya semina ya wajumbe hao iliyoandaliwa na Jumuiya ya Serikali
za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika semina leo mjini Dodoma kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akichangia maoni yake
leo mjini Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za
Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Mark Mwandosya akitoa ufafanuzi kwa
wajumbe wenzake leo mjini Dodoma juu ya kuboresha mapendekezo ya
Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za
Mitaa.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Moses Machali akichangia maoni yake leo mjini
Dodoma wa kuboresha mapendekezo ya Jumuiya ya Serikali za Mitaa
Tanzania kuhusu Katiba mpya na Serikali za Mitaa.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto)na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Ummy Mwalimu(kushoto), Mchungaji Peter
Msigwa(wa pili kushoto) , Vincent Nyerere( wa pili kulia ) na Shamsa
Mwangunga(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya
semina kuhusu Katiba mpya na Serikali za mitaa.
EmoticonEmoticon