*RAIS KIKWETE AKAGUA MAENEO YA MAFURIKO NA KUWAPA POLE WASAFIRI NA WANANCHI

April 14, 2014


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.Pichani Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.
 Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi aliyemfuata na kumsalimia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga. Picha na Freddy Maro

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »