*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA BODI YA HUDUMA ZA MAKTABA TANZANIA, JIJINI DAR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa na Mkutubi wa Jiji, Lusekelo Mwalugelo, Gazeti la Mambo Leo la
Mwaka 1923 ambalo ni moja kati ya magazeti ya zamani, wakati alipokuwa
akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka
50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya
Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa baadhi ya vitabu na Ofisa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mture
Educational Publishers Ltd, Bupe Mwasaga, wakati alipokuwa akitembelea katika
mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya
Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya
Taifa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa Moja ya kitabu cha kuhifadhi kumbukumbu chenye picha ya Baba wa
Rais Jakaya Kikwete, Mrisho Kikwete, wakati alipokuwa akitembelea katika
mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya
Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya
Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo
wakiisomea vitabu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanafunzi waliojitokeza kuhudhuria sherehe hizo
wakiisomea vitabu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunukia
cheti Mama Kaunga kwa kutambua mchango wa, wakati alipokuwa akitembelea katika
mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya
Huduma za Maktaba Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya
Taifa jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizindua Katalogi ya Kieletriniki, wakati wa
sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Bodi ya Huduma za Maktaba
Tanzania, yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es
Salaam.
Picha ya pamoja na Wadau waliotunukiwa vyeti.
EmoticonEmoticon