*MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA MCHAKATO WA UANZISHWAJI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII WA TIBA KWA KADI (TIKA)
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Magalula Said Magalula
akifungua mkutano wa wadau mkoani Geita unatakaojadili mchakato wa uanzishaji
wa Mfuko wa Afya ya Jamii ujulikanao kama Tiba kwa Kadi (TIKA).
Katibu Tawala wa Mkoa Severine Kahitwa akieleza umuhimu wa kuwa na
utaratibu wa TIKA ndani ya Halmashauri ya Mji wa Geita.
Wadau wa mkutano huo wakifuatilia kwa makini
hotuba ya Mkuu wa Mkoa huo.
Sehemu ya wadau wakisikiliza maagizo kutoka kwa
mgeni rasmi ya namna ya kujadiliana katika mkutano huo.
Sehemu ya wadau wakisikiliza maagizo kutoka kwa
mgeni rasmi ya namna ya kujadiliana katika mkutano huo.
Mkutano huo pia haukuwanyima fursa ya kuelewa
kinachozungumzwa ndani ya kikao hicho walemavu wa kusikia, mbele ni mkalimani
wa walemavu hao John Mukube.
Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma kutoka Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya akimshukuru mgeni rasmi kwa hotuba nzuri.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakiwa katika
picha ya pamoja.
1Wajumbe wakipitia mada zilizoandaliwa katika
mkutano huo.
EmoticonEmoticon