TASWIRA ZA MOTO ULIOTEKETEZA SEHEMU YA HOTELI YA PICOLO BEACH
Pichani
juu ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Pecolo Beach iliyopo Kawe jijini
Dar iliyoteketea kwa moto leo mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa
ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo jirani na hoteli
hiyo.
EmoticonEmoticon