TANGA UWASA WAPANDA MICHE YA MKONGE ENEO LA UTOFU LEO KUELEKEA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KESHO.
PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA,TANGA UWASA MWANAUWANI BAWAZIRI AKIWEKA UDONGO KWENYE MCHE WA MKONGE MARA BAADA YA KUUPANDA LEO ENEO LA UTOFU JIJINI TANGA. |
HAPA AKIENDELEA KUPANDA MCHE WA MKONGE. |
MWANDISHI WA GAZETI LA MTANZANIA MKOANI TANGA AMINA OMARI AKIPANDA MCHE WA MKONGE LEO ENEO LA UTOFU JIJINI TANGA. |
EmoticonEmoticon