RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa
Dini kwenye Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange wakati alipopita
kuwasalimia na kuwaomba ridhaa ya kumchagua kuwa Mbunge wa Jimbo la
Chalinze,Jana Machi 30,2014.Picha zote na Othman Michuzi.
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya Sam wa Ukweli akitoa Burudani kwa wananchi wa
Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Shangwe kwa wananchi wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akisalimiana kwa furaha na wakinamama
wa Kijiji cha Java,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa Makini Mzee Hussein
Mwindadi ambaye ni Baba wa Diwani wa Kata ya Mkange.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akitaniana na Mzee Nassor Samnamwanja
wa Kijiji cha Mkange,Kata ya Mkange jana Machi 30,2014.
Wakazi
wa Kijiji cha Manda Mazingara wakiwa wameshika mabango ya Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati walipokuwa wakimkaribisha
Kijijini kwao.
Kikundi cha Kwaya ya Kijiji cha Manda Mazingara kikitoa Burudani.
wakisikiliza jambo kwa Makini.
Mwenyekiti
wa Kijiji cha Manda Mazingara,Ibrahim Rajab Mahede akizungumza wakati
wa kutoa taarifa ya Kijiji kwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.
Diwani
wa Kata ya Mkange,Abdallah Mwendadi akiwasalimia wananchi wake wakati
wa Mkutano wa Kampeni za CCM katika Kijiji cha Manda Mazingara jana
Machi 30,2014.
Meneja
wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Steven
Kazidi akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Manda Mazingara jana Machi
30,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa
Kijiji cha Manda Mazingara wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika
jana Machi 30,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsalimia Mzee Salum Ramadhan
Satajiri.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akionyeshwa maendeleo ua ujenzi wa
Msikiti (haupo pichani) na Sheikh Yahya Abdullah Imam wa Msikiti huo.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza machache na wananchi wa
kijiji cha Chamakuru,aliposimama kuwasalimia akiwa safarini kwenye
Kijiji cha Miono.
Wananchi wa Kijiji cha Manda Mazinga wakifatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika jana Machi 30,2014.
EmoticonEmoticon