*BALAA LA MVUA ILIYONYESHA JIJINI DAR JANA
Vijana
wakisaidia kulikwamua gari la Polisi, lililokwama katika shimo
lililokuwa halionekani kutokana na maji kujaa katika njia nyingi za
barabara eneo la Kiwalani jijini Dar es Salaam, kutokana na mvua kubwa
zinazoendelea kunyesha jijini.
Viaja wakijipatia ajila ya ghafla kusaidia kulitoa gari lililozama kutokana na mvua zinazoendelea jijini.
Mmiliki
wa gari lenye namba za usajili T 684 BEG, akiangalia gari lake
lililoangukiwa na mti nje ya Hospitali ya Kairuki, kutokana na mvua
iliyonyesha jijini Dar jana.
Mkazi wa Msasani, akitoka nje ya nyumba ake baada ya kujaa maji.
Hapa ni Nyumba za Dar Villa zilizopo Chama TJM. Picha na Francis Dande
EmoticonEmoticon