Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mnara wa Kumbu kumbu
ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vyaKisonge Michenzani
Mjini Unguja leo asubuhi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo kutoka kwa Bw. Habib Nuru mshauri wa Ujenzi wa kampuni
ya Hab Consult ya Dar es Salaam,baada ya kuweka jiwe la msingi Mnara wa
kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leoasubuhi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa
jiwe la msingi Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
Wananchi
naa wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba
yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
Wafanyakazi
wa ZSSF,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi
ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo
asubuhi.
Baadhi
ya wananchi na Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba
yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya
Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika
viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.