BASI LA KAMPUNI YA MTEI LACHOMWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA BAADA YA KUGONGA BODABODA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU

January 09, 2014

Basi la kampuni ya Mtei Express T.742 ACU linavyoonekana baada ya kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wa kitongoji cha Ijanuka kijiji cha Kisasida manispaa ya Singida,kutokana na kugonga pikipiki aina ya sky go T.368 BXZ na kuua abiria watatu waliokuwa kwenye pikipiki hiyo.Basi hilo lilikuwa likitoka Singida mjini kuelekea Arusha mjini jana (9/1/2014).Picha na Nathaniel Limu









Share this

Related Posts

Previous
Next Post »