CCM WILAYA YA TANGA YAANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KWA KISHINDO,YAPOKEA WANACHAMA WAPYA 115,15 KUTOKA CUF

January 17, 2014

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,KASIM MBUGHUNI KULIA AKIMDANI MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA KIOMONI KUPITIA CHAMA HICHO  KAULI MAKAME KAULI LEO MARA BAADA YA KUZINDUA RASMI KAMPENI HIZO

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA (CCM)KASSIM MBUGHUNI KULIA AKIMFUNDA MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA KIOMONI LEO KUPITIA TIKETI YA CHAMA HICHO.

KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,LUCIA MWIRU KULIA AKIPOEA BENDERA YA KUASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA KIOMONI JIJINI TANGA LEO

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA MJINI,OMARI NUNDU AKIFURAHIA NGOMA YA WAKINA MAMA ILIYOKUWA IKITUMBUIZA WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI HIZO

KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,LUCIA MWIRU AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA KATA YA KIOMONI LEO MARA BAADA YA CHAMA HICHO KUZINDUA RASMI KAMPENI ZAKE.

KATIBU WA JUMUIYA WA WAZAZI WILAYA YA TANGA,AMOUR SULEIMANI AKISALIMIA WANANCHI WA KIOMONI KWENYE UZINDUZI HUO LEO

MWENYEKITI WA JUMUIYA WA UMOJA WA VIJANA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,SALIM PEREMBO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA KIOMONI LEO MARA BAADA YA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI LEO.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »