MWENYEKITI WA JUMUIYA YA UMOJA WA VIJANA WILAYA YA TANGA,SALIM PEREMBO AKIWA ENEO LA UZINDUZI WA KAMPENI LEO KUSHOTO NI MJUMBE WA BARAZA KUU TAIFA UVCCM SAA MAMY MOHAMED |
WAHESHIMIWA MADIWANI NAO WALIKUWEPO |
KATIBU ITIKADI UENEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA,LUPAKSIYO KAPANGE KULIA AKIWAONGOZA WANACHAMA WAPYA WALIOJIUNGA NA CHAMA HICHO KULA KIAPO LEO |
MNEC WA WILAYA YA TANGA,ALHAJ KASIM KISAUJI KATIKA AKIWAONGOZA WAKINA MAMA KUCHEZA NGOMA YA NDUMANGE LEO WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI HIZO |
MWENYEKITI WA UWT WILAYA YA TANGA MWANSHAMBA PASHUA KATIKATI AKIWAONGOZA WAKINA MAMA WENZAKE KUCHEZA NGOMA YA MDUMANGE LEO. |
EmoticonEmoticon