*WAENDESHA BODABODA WA JIJINI ARUSHA WAANDAMANA KUPINGA KUZUILIWA KUEGESHA PIKIPIKI ZAO KATIKATI YA JIJI


Waendesha
Bodaboda wa Jijini Arusha wakiwa wamekusanyika huku wakiimba
kuwashinikiza askari kufungua vizuizi vilivyowekwa barabarani kuanzia
leo asubuhi kwa ajili ya kuwazuia kupita kuingia maeneo ya katikati ya
jiji, ambapo wamezuiliwa kuegesha pikipiki katika maeneo ya katikati ya
Jiji na kuamua kuandamana ili kupinga utaratibu huo.

EmoticonEmoticon