Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameteua Wakuu wa Wilaya wapya 12, waliobadilishwa
vituo vya kazi 64 na waliobaki kwenye vituo vya zamani 42. Katika Mkoa wa Tanga
yafuatayo ni mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya.
Wakuu
wa Wilaya Wapya.
1 Wilaya ya Tanga
Mhe. Abdula Suleiman Lutavi anayetokea Wilaya
Namtumbo
2 Wilaya ya Muheza
Mhe. Esterina Julio Kilas akitokea Wilaya ya Wanging’ombe
3 Wilaya ya Pangani
Mhe. Regina Regnald Chonjo akitokea
Wilaya ya Nachingwea
4 Wilaya ya Lushoto
Mhe.
Mariam M. Juma ambaye ni uteuzi mpya
5 Wilaya ya Handeni
Mhe.
Husna Rajab Msangi ambaye ni uteuzi mpya
Wakuu
wa Wilaya waliohamishwa vituo vya kazi ndani ya Mkoa
1 Mhe.Hafsa Mahinya Mtasiwa ambaye
amehamishiwa Wilaya ya Korogwe akitokea Wilaya ya Pangani.
Wakuu
wa Wilaya waliobaki kwenye vituo vyao vya zamani ndani ya Mkoa
1 Mhe.Mboni Mwanahamis Mgaza, Mkuu wa
Wilaya ya Mkinga
2 Mhe. Suleman Salum Liwowa, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi
Wakuu
wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na kupangiwa kazi nyingine
1.
Mhe. Mrisho Gambo, aliyekuwa Mkuu wa
Wilaya ya Korogwe
Waliokuwa Wakuu wa Wilaya za Tanga na kuhamishiwa Wilaya zingine Nchini
1. Mhe. Subira Hamis
Mgalu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza amehamishiwa Wilaya ya Kisarawe
2. Mhe. Magid Hemed
Mwanga alieykuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto amehamishiwa Wilaya ya Bagamoyo
3. Mhe. Muhingo Rweyemamu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya
Handeni amehamishiwa Wilaya ya Makete
CHANZO:MKOA WA TANGA BLOG
EmoticonEmoticon