DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KIGOMA

November 03, 2026

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Novemba 2, 2026, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma.

Dkt. Mwigulu, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, ameongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi za CCM za mkoa huo.













Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »