RAIS SAMIA AKAGUA GWARIDE MAALUMU LA MAPOKEZI MOSHI

November 20, 2026

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu la Mapokezi alipowasili Shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi leo Novemba 20,2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi baada ya kuwasili katika viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi mkoani Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.

Viongozi mbalimbali pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »