Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, na Mhe. Téte António, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola wakisaini Mkataba wa Ushirikiano katika Sekta ya Anga kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Angola, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara ya Kitaifa ya Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2026.
Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kitaifa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2026.








EmoticonEmoticon