NLD WAMPITISHA GIDEON UCHAGUZI WA UDIWANI KATA YA MWERA

October 10, 2026

 


Mgombea Udiwani kata ya Mwera wilayani Pangani kupitia chama cha NLD , Boniface Gideon ( kulia ) ,akipokea Fomu ya Kugombea Udiwani kata hiyo kutoka kwa msimamizi wa Uchaguzi ndugu Kigiriki leo October 10 .

Zoezi la uchukuaji Fomu lilianza October 7 na litafungwa Oct.13 na Uchaguzi utafanyika nov.04 /2026


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »