MIAKA 25 YA NHIF: MARATHON KUCHOCHEA UPATIKANAJI WA BIMA ZA AFYA

October 28, 2026

NHIF Marathon 29/11/2026: Mbio za kilomita 5, 10 na 21 zikilenga kushirikisha watumishi, wageni waalikwa na wananchi 10,000 katika Viwanja vya Jamhuri Dodoma.

Ada ya ushiriki ni TZS 40,000/= (TZS 30,000/= kwa maandalizi na TZS 10,000/= kwa shughuli za CSR) kwa lengo la kuhamasisha afya, kuzuia magonjwa yasiyo ya kuambukiza, nakuchangia jamii kwa kutoa kadi za bima za mwaka mzima kwa makundi maalum (wazee, watoto na wanawake), kugharamia matibabu yasaratani au figo kwa wagonjwa wasiojiweza, pamoja na kutoa vifaa tiba katikakituo cha afya kitakachochaguliwa

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »