DKT.MWIGULU AZUNGUMZA NA WAWAKILISHI WA SPACEX NA STARLINK

October 08, 2026


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta ya mawasiliano na teknolojia.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt, London, Uingereza, Oktoba 7, 2026, na kuhudhuriwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Angela Kairuki; Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Musa Omar; pamoja na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo.



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »