Muasisi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiondoka leo Septemba 16, 2026 baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku nne mkoani Tabora kwa kutembelea na kukagua zahanati pamoja na nyumba mbili za watumishi zilizojengwa katika Kijiji cha Gengesita, Kata ya Kizengi, Wilaya ya Uyui.
Katika Uwanja wa ndege wa Tabora amesindikizwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dr Jafaar Seif na Mkuu wa Wilaya ya Urambo Dkt. Khamis Mkanachi na viongozi wengine wa wilaya na mkoa.
Picha ya pili Dkt Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wanaohiudumu katika Uwanja wa Ndege wa Tabora wakati akiondoka mwishoni mwa ziara yake ya siku nne ya mkoa huo leo Septemba 15, 2026

.jpeg)
EmoticonEmoticon