
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tarehe 31 Julai, 2026.
TANGA RAHA BLOG
habari
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONDOKA NCHINI KUELEKEA LUANDA NCHINI ANGOLA KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA HOSPITALI ILIYOPEWA JINA LA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







EmoticonEmoticon