
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 15 Februari, 2026 akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga ambayo hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 12. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Wanu Hafidh Ameir. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akipanda mti katika eneo la Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo hicho leo tarehe 15 Februari, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza na wananchi wa Tanga mjini mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga ambayo hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 12 leo tarehe 15 Februari, 2026. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Muonekano wa Chuo Kikuu Mzumbe kampasi ya Tanga ambayo hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 12 ambao umewekwa jiwe la msingi na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 15 Februari, 2026.
EmoticonEmoticon