RAIS DKT SAMIA SULUHU AWASILI ADDIS ABABA ETHIOPIA KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA (AU)

February 12, 2026

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Waziri wa Kazi na Ukuzaji wa Ujuzi wa Ethiopia Mheshimiwa Muferihat Kamil Ahmed mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Share this

Related Posts

Latest
Previous
Next Post »