Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dar es Salaam , leo Jumanne tarehe 21 , Okt 2025.






EmoticonEmoticon