MGOMBEA WA URAIS WA CCM DKT.SAMIA SULUHU AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA MJI WA TUNDUMA MKOANI SONGWE KATIKA MUENDELEZO WA KAMPENI ZAKE

September 03, 2025

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mji wa Tunduma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Tunduma mkoani Songwe tarehe 03 Septemba, 2025.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »