TUME YAKABIDHI FOMU ZA UTEUZI KWA MGOMBEA URAIS WA CCM

August 09, 2025


 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mgombea huyo wa CCM alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu.  (Picha na INEC). 

--
Mroki Mroki
Online Reporter/Blogger
Mob: +255 755 373999 
     DODOMA, TANZANIA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »