Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
EmoticonEmoticon