📌 *Ni sehenu ya utekekezaji wa Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia*
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde leo amegawa Mitungi ya Gesi kwa Mamalishe, Zahanati na Hospitali Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya utekelezqji wa Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.
Kutoka Wizara ya Nishati tukio lilihudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia, Bw. Ngeleja Mgejwa.
EmoticonEmoticon