DKT BITEKO ASHIRIKI HALFA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA-MAGOMENI

December 15, 2024


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa  Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki hafla ya uwekaji Wakfu Jengo la Kanisa la Waadventista  wa Sabato Magomeni inayofanyika leo Disemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam.

Dkt. Biteko amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo Kanisa hilo limewekwa Wakfu na Mchungaji Joel Okindo, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati (ECD).


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »