VODACOM TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 21 WA TAASISI ZA KIFEDHA ULIOANDALIWA NA BENKI KUU YA TANZANIA JIJINI ARUSHA.

March 12, 2024

 

Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. Vodacom Tanzania inajivunia kuleta huduma jumuishi za kifedha nchini kwa miaka 15 sasa ikitumiwa na Watanzania zaidi ya milioni 20. 
 Mkurugenzi wa M-Pesa, Epimack Mbeteni (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha. Vodacom Tanzania inajivunia kuleta huduma jumuishi za kifedha nchini kwa miaka 15 sasa ikitumiwa na Watanzania zaidi ya milioni 20

Washiriki wakiendelea na mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.
Washiriki wakifuatilia mijadala wakati wa mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania kujadili uimarishwaji wa sekta za kifedha ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi mwishoni mwa wiki jijini Arusha.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »