Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Kuftarisha
viongozi pamoja na Makundi mbalimbali ya Kijamii tarehe 12 Machi, 2024.
Naibu
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwa
kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 12 Machi, 2024.
Viongozi
mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akiwa
na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhe. Dkt. Moses Kusiluka wakati wa Futari
iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12
Machi, 2024.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari Waandamizi pamoja na Wahariri wakiwa kwenye
Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
12 Machi, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Wauza madafu wakati akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya Kuftarisha viongozi pamoja na Makundi mbalimbali
tarehe 12 Machi, 2024.
TANGA RAHA BLOG
habari
RAIS SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI PAMOJA NA MAKUNDI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon