Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta,
Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari,
2024.
TANGA RAHA BLOG
habari
RAIS DKT SAMIA SULUHU ATUA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SOEKARNO-HATTA,TANGERANG KWA AJILI YA ZIARA NCHINI INDONESIA
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon