Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Pemba tarehe 09 Januari, 2024. |

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Chakechake Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) Soud Said Ally kuhusu Kituo cha kupimia Karafuu kilichopo katika jengo hilo la Kitega Uchumi la ZSTC Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri
wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaabani kuashiria
ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar
(ZSTC) lililopo Chakechake Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chakechake Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) tarehe 09 Januari, 2024
Wananchi wa Chakechake
wakiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la
Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Chakechake Pemba tarehe 09 Januari, 2024.